Undisputed Truth: Pengine Ommy Dimpoz akawa ndo msanii anaemiliki mwanamke mrembo kuliko wote Tanzania

Issue hapa sio kunizidi hela au la huna access ya watoto wazuri ndio maana unasifia wa wenzako. Katafute pesa simply huna pesa.

Mwanaume unasifia wake wa wenzako? Low IQ, low self esteem, na huna pesa.
Sawa mama amina
 
Mleta mada mi nakuunga mkono.

Jamii yetu haijazoea wanaume aliyejipata na bado awe “well reserved” ikitokea basi atahisiwa tofauti. Some men are very picky and privacy is their cup of coffee.

Dimpozi anatembea na KE na haujamkuta anabembeleza, He will drive in the middle of the night to pick up a chick… Beautiful one, ana ka mwili kadogo, mweupe, ana ka ushombe shombe plus usingida. (sio mimi msinishukie) Dimpozi kama uko humu bisha nikutajie jina 😀

Sababu sijathibitisha kama anatembea na ME na nimethibitisha anatembea na KE basi naendelea amini ni aina ya ME ambao hawajataka kuprove uanaume wao kwa kukimbizana na sketi (scandals) . Nadhani it has something to do with his circle of friends also.

Okay bye!
 
huku mtandaoni kumejaa vijana broke ambao wanafikiri kumchafua mtu aliewazidi kila kitu basi watapata faraja au kutawapunguzia ugumu wa maisha.
nmeandika short sana ili kuepuka kujulikana ila vijana wa kibongo wamejaa sana hila na chuki like walitaka wakute heading inasoma-

NILIKUTANA NA OMMY DIMPOZ HOTELINI KAPAKATWA NA MWANAUME MWENZIE, wtf.!!

huyo chick ulomwelezea apo ni tofauti kidogo na niliemwona nae Zanzibar, that one hakuwa na mwili mdogo, umbile lake ni kama la Zaylissa wa Haji [hata urefu] ila asili kama ya kinyarwanda.

low-key is the key.!!
 
Kumbe siyo mtu wa upinde!!!?? Maana nlikuwa nasikia ni chakula ya ji-es-em🤭
 
na huyo mpenzi wake ndio wewe hapo!?
 
Nyie wanawake mnajuana wenyewe. Hili unatuletea sisi wanaume unataka tuseme nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…