Undisputed Truth: Pengine Ommy Dimpoz akawa ndo msanii anaemiliki mwanamke mrembo kuliko wote Tanzania

Mbona kama wewe ndie pozi kwa pozi mwenyewe🤣
 
Na hii ina sum up kuwa he is into women! Mpaka itakapothibitishwa otherwise.

Tusipende kumpaka mtu kwa kitu ambacho hatujawahi kumuona nacho.
 
Na hii ina sum up kuwa he is into women! Mpaka itakapothibitishwa otherwise.

Tusipende kumpaka mtu kwa kitu ambacho hatujawahi kumuona nacho.
Lakini jamaa anavyojiweka inasababisha watu kufikiri mambo mengine
 
Vipi kama ni bisexual au pansexual?

Watu wengi wanaficha tabia zao ili kuepuka maneno ya watu

Kuna mbunge ulaya alikua akikosoa sana mashoga ila akakamatwa kwenye club ya mashoga, akajiuzuru

Mimi nadhani sexuality za watu tuachane nazo tu, na tusishangae kugundua maajabu, ni suala binafsi mno.
 
Tunajaribu kuthibitisha tulichoona kwa macho.. Ofcoz kwa dunia ya sasa it’s complicated kujua sexuality ya mtu.. Maana watu wanaamka tu wanadecide kuwa identified as…… mara kesho as …… .

Binafsi sina tatizo na yeyote, Huyu mwamba amesemwa ni gay mara nyingi… Na kuna sisi tulioshuhudia vinginevyo, Sum of us we will defend even our worst enemy! Siwezi kumsemea uongo for the sake of it.
 
Bila picha ya huyo mwanamke vwa Ommy basi huu Uzi ni batili na ingependeza zaidi Kama mamods wangeufutilia mbali
 
Kama Magu stori za aliowafumua zilivuja sidhani kama Dimpoz ni smart kiasi kwamba zaidi ya miaka 10 ya umaarufu wake wasijulikane hata mademu wawili alotoka nao! Hasa hawa mademu wa kizazi cha tik tok ambao hamna namna atalala na celeb na taarifa isiende duniani

Napata ugumu sana kumtetea Dimpoz ikiwa hata Nay ashawahi andika mistari tata kuhusu jamaa
 
Kuna watu kuropokwa au kujisemesha na kujiandikisha vitu vya oungo au uzushi wameifanya kama kitu cha kawaida ndio maana hizi habari zinasambaa na nina uhakika baadhi ya wanaotolea ushuhuda kuwa ni gay hawajawahi hata kumuona wanafata mkumbo tuu.
 
Mambo ya kujadili vitu hewani ni nonsense. Weka picha sisi hatuwajui hao huku ngerengere tunakomaza nuckles na commando course pharse 2
 
Huyo mpenzi wake itoshe tu kusema kuwa ni mrembo sana, ni mrefu, rangi ya chocolate, kajaliwa shape na kwa jinsi nilivyomtathmini pengine ikawa ni pisi kali kuliko za masuperstar wengi Bongo hii.
Uzuri wa pisi ni subjective, ndiyo sababu wakasema "beauty is in the eye of the beholder".
Wewe unaweza kumuona mkali sana kuliko pisi wate, mwingine akaona wa kawaida tu.

Ungetupia kapicha ingependeza broo
 
Mwanamke mrembo sana ni tatizo ndugu yangu wengi wanajiuza
 
Kuna watu kuropokwa au kujisemesha na kujiandikisha vitu vya oungo au uzushi wameifanya kama kitu cha kawaida ndio maana hizi habari zinasambaa na nina uhakika baadhi ya wanaotolea ushuhuda kuwa ni gay hawajawahi hata kumuona wanafata mkumbo tuu.
Si ndiooo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…