Unga hivi maharage kama hupendi/hutumii mafuta

Unga hivi maharage kama hupendi/hutumii mafuta

aliyegundua combo hii atekwe akatupwe mto msimbazi 😂
20260601_193549.jpg
 
Hi guys hope mko poa,.
Tupike pamoja
1. Maharage yako ambayo yashachemshwa na chumvi utaweka maji kidogo na uweke jikoni yapate moto View attachment 3599827
2. Katakata kitunguu karoti na hoho uweke na uache vichemke kidogoView attachment 3599829
3. Ikichemka kiasi weka ngogwe/ nyanyachungu na nyanya kidogoView attachment 3599834
4. Koroga kidogo na ufunike uache vipikike kwa mda kidogo kama dakika nne au tanoView attachment 3599851
5. Yakishachemka na nyanyachungu zikishalainika vizuri utapunguza moto halafu utaweka tui la nazi kikombe kimoja na utaacha yapikike yakiwa wazi huku unakoroga taratibu taratibu
View attachment 3599841
6,. Kama kwa dakika mbili hivi au tatu maharage yako yatakua yameiva na yako tayari kuliwa,. View attachment 3599844
7. Utakula na chochote kile,. ( wali ugali chapati au chochote tu unachopendelea)
Sie tuliyala kwa wali,. And yalikua matam sana👌🤗View attachment 3599847
Samahani mkuu hako kasahani ka wali mlikula wawili🙄
 
Back
Top Bottom