Mkwe wa mama mpishi😀Ulikuwa na connection na kiongozi wa msosi au
Huo mrendaa🥹Mhm kisamvu hapanaView attachment 3599866
Hapo kushiba lazma tena unakuwa staff kabisa 😂🙌🏾Mkwe wa mama mpishi😀
Nataka kujua ulikuwa wewe na nani?Yees👌😍
cheza na fursa mdauKama hujaoelewa na hauko kwenye mahusiano.
I have good news for you.
Aah sisi huku Bariadi Usukumani hicho ni kifungua kinywa cha mtotoHiyo ni pana mkuu,.
Sema wapili ni mtoto hali sana😅
Nakukumbuka dogo ulikuwa mtii siku dada yako akipika wali wa kisamvu.Unazungumziaje kisamvu kilicholala cha nazi au karanga na wali unashushia kikombe cha chai.
Ila kuishi kwa shemeji
hongera sana, inaonekana wewe ni mpishi mahiri sana.Nilikua na dogo
Acha tu mwanetuNakukumbuka dogo ulikuwa mtii siku dada yako akipika wali wa kisamvu.
Ulifikia stage ukawa unakula mpka ukoko😂
ooh safi maisha ya ndoa unayaonaje?Niko kwenye ndoa mkuu,.
Uzuri title ya uzi imejieleza vizuri😃😂
Jilishe mwaya,Uzuri title ya uzi imejieleza vizuri😃😂