Unga hivi maharage kama hupendi/hutumii mafuta

Unga hivi maharage kama hupendi/hutumii mafuta

Hongera bidada kwa pishi mujarab.....

Hako kasahani ndo mle watu wawili ? Huko ni kuonja ama kula ? 😊
 
Vipi mkunungu ukichanganya na nyama pamoja na mayai na bamia🏃🏃🏃
 
Mlongo Umejua kutoa Diko, kesho asubuhi nakidamkia hapo, nijilie na chai ya rangi.
😋😋😋
 
Mlongo Umejua kutoa Diko, kesho asubuhi nakidamkia hapo, nijilie na chai ya rangi.
😋😋😋
 
Back
Top Bottom