Unga hivi maharage kama hupendi/hutumii mafuta

Hongera bidada kwa pishi mujarab.....

Hako kasahani ndo mle watu wawili ? Huko ni kuonja ama kula ? 😊
 
Vipi mkunungu ukichanganya na nyama pamoja na mayai na bamiaπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Mlongo Umejua kutoa Diko, kesho asubuhi nakidamkia hapo, nijilie na chai ya rangi.
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Mlongo Umejua kutoa Diko, kesho asubuhi nakidamkia hapo, nijilie na chai ya rangi.
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…