UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.

Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.

Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.

#Goodmorning🇵🇹

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79
 
majaaliwa ni mweupe kichwani kama bosi wake.
 
Japokuwa umelielezea suala hili kama vile utani lakini kuna Ukweli mchungu kuhusiana na watawala wetu.
 
Jenista mhagama alisoma speech yote alikuwa anakosea kila herufu,eti ndio pisi ya Taifa,yaani ukija upepo karatasi ikipepea ni kilio.
Wa TZ ni bongolala
,njooni mnikamate niko Kibera,Nairobi
 
Umeandika kwa dharau sana aisee.Tutajirekebisha na ikishindikana tutajirekebua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…