UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.

Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.

Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.

#Goodmorning🇵🇹

View attachment 3110275
View attachment 3110276

- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79
😆😆😆😆
 
Ili ujue Tanzania ni nchi yenye watu wa ajabu nikwamba eti kiongozi akitoa hotuba mbovu wanalaumu walioandika hotuba na aliyeongea kwa mdomo wake anaachwa. Unafikiri aliyeongea amekua kitabu kumbe ni mtu.
😅😅tafsiri ya jina lako tafadhali
 
Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.

Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.

Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.

#Goodmorning🇵🇹

View attachment 3110275
View attachment 3110276

- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79
Kilikuja na MELI.
 
Na kuna kipindi shujaa wa afrika alitaka kufuta kiingereza ili kiswahili kitumike mpaka chuo kikuu.
Mimi nilipinga, sisi kama TANZANIA tunahitaji kujua lugha nyingi ila kuendana na uchumi wa dunia
Haitakuja kutokea nchi ikafanya mapinduzi ya kimaendeleo kwa kufundishia lugha ya kigeni na kuacha lugha yake mama.

Nikosoe kwa kunitolea mfano wa nchi moja tu tunazoita zilizoendelea inayotumia lugha ya kigeni kufundishia.

Do you think it's a coincedence?
 
Sorry mkuu

Kwa hiyo wewe unajua swahili tu?? 😀
Najua lugha nne lakini siwezi kujivunia, kama ni faida maishani, ningekua nafahamu kutengeneza ndege na kuunda chombo cha ardhini na angani za kutafiti, na kuleta mali na faida za binadamu ningejivua.
 
Ukweli ni kwamba, Ruto kichwani huwezi kumlinganisha na
1. Secretary
2. Yule majaliwa
3. Mhagama
4. Doto hewa
5. Nape hewa
6. Aweso hewa

The only machinery tulionao ni
1. Dr mpango ila secretary hampi nafasi
2. Kabudi, ila siasa imemharibu
3. Jerry silaa
4. Makamba jr ila usambaa umemharibu
5. Nchemba tatizo siasa imemharibu
6. Kairuki Mrs, ila anapigwa vita na mfumo
7. Tax , ulinzi ila anagicha wizara ambazo hatajulikana anafanya nini
8. Dr Nchimbi, ila ataondolelewa soon huko aliko.
9. Mkenda, japo Huwa Kuna wakati anajisahau.
Hakuna siku pombe na bange viliwahi Acha mtu salama
 
Tumekwepa ukweli,madhara yake yanayaona.Tufundishe masomo kwa lugha ya kiingereza,ili tuweze kuwasiliana kimataifa,lakini tunakwepa.

Nchi ilitakiwa kuendelea zaidi ya hapa tulipo, bahati mbaya tumepigwa kwenye mikataba mingi(kwa sababu za ubinafsi,na kutokujua dunia inaendaje).
 
Lakini kuipata nyanya au unga wa ugali Kenya ni patashika boksa kuchanika.
Nani kakudanganya?ndio utetezi wenu wa kipuuzi mkishakosaga hoja hiyo nyanya na Unga wa ugali hapa bongo tunagawiwa bure????tumia akili sio unakurupuka tu
 
Najua lugha nne lakini siwezi kujivunia, kama ni faida maishani, ningekua nafahamu kutengeneza ndege na kuunda chombo cha ardhini na angani za kutafiti, na kuleta mali na faida za binadamu ningejivua.
 
Attachments

  • Putin.jpg
    Putin.jpg
    3.4 KB · Views: 2
Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.
Sisi tunaishi kwa maelekezo toka juu
Akili hazijitegemei
Kumbuka yule mama aliyepokonywa uwaziri kwa vile aliheshimika US
 
Nani kakudanganya?ndio utetezi wenu wa kipuuzi mkishakosaga hoja hiyo nyanya na Unga wa ugali hapa bongo tunagawiwa bure????tumia akili sio unakurupuka tu
Haujui ulichondika au labda Hauna taharifa sahii.... Pointless... Kwani zile nchi zinazozalisha mafuta Kwa kiasi kikubwa kama Iran na Saudia, Huwa wanagawa Bure mafuta Kwa wananchi..... Bado haujatahiriwa katika nyanja ya arguments.
 
Back
Top Bottom