UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

Sema Ruto nae katuzingua.... Global peace iko under threat hadi huko Outer Space !!!???How..
Hii ndo shida ya kutaka kukill.. unajikuta unadanganya.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Waziri asiyejua kutofautisha R na L.

Ila yule mheshimiwa atakua na sangoma konki
Kwa kumlaribisha rais jimboni kwake kwa kugalagala kama mtoto mdogo kisa uwaziri😀😀
 
Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.

Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.

Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.

#Goodmorning🇵🇹

View attachment 3110275
View attachment 3110276

- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79
Mkuu nahisi unaweza usiwe sahihi sana.

Ukiangalia movement ya kichwa cha Rutto utagundua anasoma.

Nadhani, Hapo pana option mbeli za kusoma; ama usome kwa karatasi au utumie teknolojia ya kioo.
Waliopo UN wanaweza kutusaidia kwa hili. Sina hakika kama kuna kiongozi makini anaweza kuwasilisha Hotuba ya nchi UN bila kuandikwa.

kuhusu ubora wa hotuba; nadhani wa Kenya yupo far better ukilinganisha na katelephone. Simamini kama hotuba ya nchi inaweza kuwa na kasoro nyingi na maudhui hafifu kama hii ya katelephone, sijui nani alimuandalia.

Ni maoni yangu tu mkuu, naweza pia nisiwe sahihi
 
Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.

Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.

Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.

#Goodmorning🇵🇹

View attachment 3110275
View attachment 3110276

- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79

Mwalimu Majaliwa naye ni kama ule mwenzake wa Afya
 
Mzee anatoa salamu zake kama vile anahutubia waTz.Full kusifia muda wote - yaani ina maana PM haoni kinachoendelea ulimwenguni? Huwezi jua analenga nini hasa yuko too general - labda kama huko mbeleni alibadirika.
Huwezi ukahutubia huko UN bila kugugusia yafauatayo kwa sasa:
1.Media Censorship
2.State terrorism
3.Power competitions among big powers.
4.Wars: Middle East, Africa, Ukraine
5.Decline in democracy - duniani
6.Multi polar world
7.Favouratism
Ndo baadhi ya mambo yanayoshape mstakabali wa Dunia kwa sasa..sio salamu salamu
 
Hawa watu huwa wanatumia uchawi kuwa viongozi!

Sidhani kama inawezekana kwa njia za kawaida.
 
Ukweli ni kwamba, Ruto kichwani huwezi kumlinganisha na
1. Secretary
2. Yule majaliwa
3. Mhagama
4. Doto hewa
5. Nape hewa
6. Aweso hewa

The only machinery tulionao ni
1. Dr mpango ila secretary hampi nafasi
2. Kabudi, ila siasa imemharibu
3. Jerry silaa
4. Makamba jr ila usambaa umemharibu
5. Nchemba tatizo siasa imemharibu
6. Kairuki Mrs, ila anapigwa vita na mfumo
7. Tax , ulinzi ila anagicha wizara ambazo hatajulikana anafanya nini
8. Dr Nchimbi, ila ataondolelewa soon huko aliko.
9. Mkenda, japo Huwa Kuna wakati anajisahau.
 
WaTz wengi huwa hamnaga akili! Tofautisha motivational speaker na hard working leader! Huyo ruto anaongeaongea tu kufurahisha watu nnjoo utendaji kaz wake ni sifuri! JPM mwenyewe mambo ya hotuba yalimpita kushoto ila alikuwa kiongoz mahiri kwel kwel!
By the way ukisoma speech nzur hapo! Unaongeza chakula na ajira kwenye nchi yako? Mleta mada huna akili.
 
UWT Online
 
Acha kutwambia mambo ya JPm muuaji yule.
Shetani na mbinafisi
 
Back
Top Bottom