UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.

Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.

Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.

#Goodmorning🇵🇹

View attachment 3110275
View attachment 3110276

- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79
Mkenya wa kawaida huwezi fananisha na Mtanzania wa Kawaida. Mtu Kama Samia, kwa Kenya hasingeweza kupata hata nafasi ya ubunge achilia mbali umakamu wa Rais.
 
Bora majaliwa angeenda mwenyekiti wake ingekuwa balaa na aibu tupu
 
Ushamba mzigo, kuna kusoma kwa aina nyingi

1727636369319.png
 
Document iliyosoma UN ingetumwa kwa Whatsapp,ili wajumbe waipata tunge save millions of money, na pesa hiyo ingeweza kusaidia kununua vitabu watoto wasome.
Teh teh teh 😃 😃 noma sana
 
Hamia kenya basi unafanya nini Tz,huo ni umalaya wa fikira kwani akisoma anapungukiwa nini na huyo ruto kapata nini kinachokufaidisha??
 
Dunia ni kijiji sasa hivi kwa sababu ya utanndawazi.

Wewe endelea kung'ang'ania kiswahili ili uishie kufa njaa
Tutakua watumwa hadi lini? kwanini tusijikombowe kutoka mfumo huu, wa kimagharibi, kwanini elimu yetu? Tizameni mataifa kama china, japan, na korea yameendelea bila wao.
 
Jenista mhagama alisoma speech yote alikuwa anakosea kila herufu,eti ndio pisi ya Taifa,yaani ukija upepo karatasi ikipepea ni kilio.
Wa TZ ni bongolala
,njooni mnikamate niko Kibera,Nairobi
Waziri asiyejua kutofautisha R na L.

Ila yule mheshimiwa atakua na sangoma konki
 
Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.

Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.

Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.

#Goodmorning🇵🇹

View attachment 3110275
View attachment 3110276

- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79
Somesheni watoto wenu kiingereza. Over...
 
Now you can observe the difference between the elites.
Yaani hata salamu tu🤣
 
Back
Top Bottom