THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #101
Uhame uende wapi?😂Duuu aiseee nmecheka sana ,alaf Kuna jamaa mmoja alikua anasema sijui watu waende Burundi!! Tanzania siwez hama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhame uende wapi?😂Duuu aiseee nmecheka sana ,alaf Kuna jamaa mmoja alikua anasema sijui watu waende Burundi!! Tanzania siwez hama
Huelew ulichoandika so ukiwa sio Rais kingereza hutakiwi kujua na kua na uwezo wa kuhotubia Bila karatasi sio jukumu lako?Ruto ni raisi Majaliwa ni raisi? Acha ubwege
Kama wewe.WaTz wengi huwa hamnaga akili! Tofautisha motivational speaker na hard working leader! Huyo ruto anaongeaongea tu kufurahisha watu nnjoo utendaji kaz wake ni sifuri! JPM mwenyewe mambo ya hotuba yalimpita kushoto ila alikuwa kiongoz mahiri kwel kwel!
By the way ukisoma speech nzur hapo! Unaongeza chakula na ajira kwenye nchi yako? Mleta mada huna akili.
Kwanini ziliwekwa?Unaleta mashindano ya debate za form 2??
Ndio maana alikuwa mwalimu wa.michezo.Jamaa alianzia division four diploma in education.
Ruto ni moto kichwani mkuu.
Adui yako mweke karibu zaidi.Tutakua watumwa hadi lini? kwanini tusijikombowe kutoka mfumo huu, wa kimagharibi, kwanini elimu yetu? Tizameni mataifa kama china, japan, na korea yameendelea bila wao.
Wewe una mawazo ya kizamani sana.Ilikua ni sawa tu kiswahili kua lugha kuu ya kufundishia kwenye shule za upili mpaka chuo, ni faida kubwa sana kuliko kiingereza, ambacho sio lugha mama ya nchi, hata yale mataifa, yaliomepiga hatua kubwa sana, kwenye elimu, na teknolojia, yameanza na lugha mama kuu ya taifa.
Aisee!majaaliwa ni mweupe kichwani kama bosi wake.
Bwahabwahabwahahahahahahaaaaaaaaa; nyumbu wa mbowe bwana mnavyohangaika. Poleni sana.Awamu ya 6 hakuna kiongozi wa juu mwenye sifa hata mmoja
Kwani ukijua english na asiyejua english kunautofauti gani?Adui yako mweke karibu zaidi.
Jitahidi ujue english mkuu
Wewe utakua na mawazo ya kuendelea kutawaliwa nani kakwambia ukijua english ndo utaajiliwa huko ulaya tunasoma ili kupata maarifa, hatusomi ili kuwa wakalimani, wa lugha za kikoloni. Mwanafuz anatumia mda mrefu kujua lugha kuliko somo tarajiwa.Wewe una mawazo ya kizamani sana.
Ajira hapa hakuna.Watoto wanamaliza vyuo ata miaka 8 inapita hawajaliwa.
Tunataka wahitimu wetu waweze kujinadi katika fursa zilizo nje ya nchi.
Ukikomaa na kishwahili utaishia Mbagala
Acha uoga mkuuJenista mhagama alisoma speech yote alikuwa anakosea kila herufu,eti ndio pisi ya Taifa,yaani ukija upepo karatasi ikipepea ni kilio.
Wa TZ ni bongolala
,njooni mnikamate niko Kibera,Nairobi
Kwa hiyo wanao umewapeleka shule za kanumba..si ndio?Wewe utakua na mawazo ya kuendelea kutawaliwa nani kakwambia ukijua english ndo utaajiliwa huko ulaya tunasoma ili kupata maarifa, hatusomi ili kuwa wakalimani, wa lugha za kikoloni. Mwanafuz anatumia mda mrefu kujua lugha kuliko somo tarajiwa.
Duh!!!!Kwani ukijua english na asiyejua english kunautofauti gani?
Nakushangaa!Duh!!!!
Naona mitizamo yaki iko too local.
I am too international for you.
Endelea kulima mpunga apo Chunya.