Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo nilikuwa nikikosea kwenye matumizi.
Ili kujitakasa kwa kutumia chumvi inatakiwa uogee sehemu isiyokuwa chafu kama chooni au sehemu yenye uchafu kama kinyesi au mikojo, sehemu salama ni kuogea nje tena ikiwezekana usiku wa manane hii inakuwa ngumu , mchanganyiko wa unga wa mkunazi ,kibiriti upele na mafuta ya mzeituni ni tiba nyingine kwa wapambanaji