johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wiki mbili zilizopita nilinunua Unga wa sembe kilo 5 kwa tsh 8500 lakini jana katika duka lile lile nimeuziwa kwa tsh 8000.
Muuzaji akaniambia katika wiki mbili zijazo bei itashuka kufikia tsh 6500 Sawa na tsh 1300 kwa kilo.
Hongera waziri Bashe kwa ufuatiliaji.
Muuzaji akaniambia katika wiki mbili zijazo bei itashuka kufikia tsh 6500 Sawa na tsh 1300 kwa kilo.
Hongera waziri Bashe kwa ufuatiliaji.