Unga wa sembe umeshuka bei kufikia tsh 1600 kwa kilo

Unga wa sembe umeshuka bei kufikia tsh 1600 kwa kilo

Mikoa ya MBEYA Songea na Sumbawanga wamevuna mahindi, yanasaidia Sana kushusha Bei ya Mahindi, kumbuka Mikoa ya Tanga na Pwani walikosa Mvua za kutisha.
Ukinitajia Sumbawanga roho yangu inaniuma sana, mwaka juz nilinunua mahind gunia 45000 nikaja kuuza kwa 20000
 
Back
Top Bottom