Unga wa sembe umeshuka bei kufikia tsh 1600 kwa kilo

Unga wa sembe umeshuka bei kufikia tsh 1600 kwa kilo

Ongezeko lilisababishwa na nini, na sasa hilo punguzo limetokana na kurekebishwa nini?
 
Umesahau tu

Tumewahi kula wali zaidi kuliko ugali.

Mchele bei ilikuwa afadhali kuliko unga.

Watu wakawa wananunua mchele zaidi
Miaka 5 ya Magufuli Unga haujawahi kuzidi tsh 1200
Shida ya nchi hii watu ni wavivu sana , haya soma hiyo link labda unaweza elewa ninacho sema
Ni sawa na Utabiri wa hali ya hewa usiamini hiyo nenda sokoni physically

This is Tanzania bwashee!
 
Miaka 5 ya Magufuli Unga haujawahi kuzidi tsh 1200

Ni sawa na Utabiri wa hali ya hewa usiamini hiyo nenda sokoni physically

This is Tanzania bwashee!
Kaka hata mimi nilinunua unga mpaka 2500, ndio maana watu wakaamua kula mchele tu maana unga ulikuwa ghali sasa nashangaa 2017 leo mmesahau , ndio maana nikakupa hata watu walio andika hizo record pia unakataa , huyo sio Shigongo ni IPP ya mzee Mengi kama hutaki basi tena hakuna msaada mwengine
 
Attachments

  • 71761E92-6112-4263-8A4E-2E1904BDDDB8.jpeg
    71761E92-6112-4263-8A4E-2E1904BDDDB8.jpeg
    129.8 KB · Views: 3
Acha
Miaka 5 ya Magufuli Unga haujawahi kuzidi tsh 1200

Ni sawa na Utabiri wa hali ya hewa usiamini hiyo nenda sokoni physically

This is Tanzania bwashee!
Miaka 5 ya Magufuli Unga haujawahi kuzidi tsh 1200

Ni sawa na Utabiri wa hali ya hewa usiamini hiyo nenda sokoni physically

This is Tanzania bwashee!
Acha uongo bwana 2017 bei ya Unga, mafuta na sukari vilikuwa juu, unga tulinunua mpaka 2500 Kwa kilo, sukari ilifika 3500-4000, tuwe tunakumbuka vizurii na tuseme ukweli uongo hausaidii
 
Acha

Acha uongo bwana 2017 bei ya Unga, mafuta na sukari vilikuwa juu, unga tulinunua mpaka 2500 Kwa kilo, sukari ilifika 3500-4000, tuwe tunakumbuka vizurii na tuseme ukweli uongo hausaidii
Wapi Unga uliuzwa 2500?
 
Ndio maana ya kuwa na serikali sikivu na ata mafuta yanazidi kushika bei
 
kesho tunakuja tena kumlaumu Mama kuwa Wakulima wa Mahindi wanauza mazao yao kwa bei ndogo sana
 
Anapambana nini sasa ?acheni kujikosha nyinyi wagalatia
 
hapa kwetu sembe 1300 kwa kilo, unga upo wa kutosha, mahindi mengi sana.

Kuna kikundi kidogo cha wafanyabiashara wenye uchu wa kutajirika wanafanya kampeni ya kuzua taharuki ....ili biashara ya mahindi ipande juu.
 
Back
Top Bottom