johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapo wapi?Ni huko kwako.
Hapa sembe ni 1800, kipande cha sabuni 800
Wiki mbili zilizopita nilinunua Unga wa sembe kilo 5 kwa tsh 8500 lakini jana katika duka lile lile nimeuziwa kwa tsh 8000.
Muuzaji akaniambia katika wiki mbili zijazo bei itashuka kufikia tsh 6500 Sawa na tsh 1300 kwa kilo.
Hongera waziri Bashe kwa ufuatiliaji.
Wapi huko bwasheeWiki mbili zilizopita nilinunua Unga wa sembe kilo 5 kwa tsh 8500 lakini jana katika duka lile lile nimeuziwa kwa tsh 8000.
Muuzaji akaniambia katika wiki mbili zijazo bei itashuka kufikia tsh 6500 Sawa na tsh 1300 kwa kilo.
Hongera waziri Bashe kwa ufuatiliaji.
Tegeta kwa NdevuWapi huko bwashee
Kibaha, mchele 2300Hapo wapi?
Daraja gani?Kibaha, mchele 2300
Umesahau kuwa kuwa unga ulipanda mpaka 2500 kwa kilo wakati huo huo wa JPM?Dah! enzi za jiwe tulinunua kilo kwa sh 900 mpaka 1000
Wapi huko?? Pluto au?Umesahau kuwa kuwa unga ulipanda mpaka 2500 kwa kilo wakati huo huo wa JPM?
Siyo kweliUmesahau kuwa kuwa unga ulipanda mpaka 2500 kwa kilo wakati huo huo wa JPM?
Mwamba muongo wewe🙌🙌Umesahau kuwa kuwa unga ulipanda mpaka 2500 kwa kilo wakati huo huo wa JPM?
Duh!!! Mwaka gani?Umesahau kuwa kuwa unga ulipanda mpaka 2500 kwa kilo wakati huo huo wa JPM?
2017wapi huko??Pluto au?