Unga wa sembe umeshuka bei kufikia tsh 1600 kwa kilo

Bashe tena au muda wa mavuno?
 
Labda kama uliuza hivyo wewe dukani kwako
Mkuu acha ubishi , huu ni wakati wa teknolojia, pitia hiyo link

Kama link haifunguki nakusaidia tena[/URL]
 

Attachments

  • C269E641-0324-475A-B32F-FFE44B82BBA3.jpeg
    129.8 KB · Views: 4
Watu wanajifanyaga wanasahau.

Akija rais mwingine watasema wakati wa mama Samia petrol haikuwahi kupanda bei
Ndio nashangaa watu wanasahau mapema sana, hii link inaweza saidia upelelezi
 
Nifustilie nini wakati nipo nchini hapa na nina familia sijawahi kununua unga kwa hiyo bei wakati wa JPM!
Tatizo uchawa umewazidi hata uongo mnataka ufananie na ukweli.
Shida ya nchi hii watu ni wavivu sana , haya soma hiyo link labda unaweza elewa ninacho sema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…