thetowerofbabel JF-Expert Member Joined Jul 17, 2010 Posts 266 Reaction score 360 Jul 19, 2022 #61 Edon 666 said: N kweli baadhi ya vtu vimeanzaa kushukaa bei, mama anapambanaa bado halii ikawee sawà kwa kilaa mtz Click to expand... Anapambana vp sasa ? Uchawa ndo huu
Edon 666 said: N kweli baadhi ya vtu vimeanzaa kushukaa bei, mama anapambanaa bado halii ikawee sawà kwa kilaa mtz Click to expand... Anapambana vp sasa ? Uchawa ndo huu
D Dodoma leo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,336 Reaction score 1,658 Jul 19, 2022 #62 Mcqueenen said: Labda kama uliuza hivyo wewe dukani kwako Click to expand... Usiwe mbishi njaa wewe. Kipindi hicho sado ya kilo nne ya mahindi iliuzwa hadi 6000 to 7000.
Mcqueenen said: Labda kama uliuza hivyo wewe dukani kwako Click to expand... Usiwe mbishi njaa wewe. Kipindi hicho sado ya kilo nne ya mahindi iliuzwa hadi 6000 to 7000.
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jul 19, 2022 #63 Marathon day said: Mikoa ya MBEYA Songea na Sumbawanga wamevuna mahindi, yanasaidia Sana kushusha Bei ya Mahindi, kumbuka Mikoa ya Tanga na Pwani walikosa Mvua za kutisha. Click to expand... Ukinitajia Sumbawanga roho yangu inaniuma sana, mwaka juz nilinunua mahind gunia 45000 nikaja kuuza kwa 20000
Marathon day said: Mikoa ya MBEYA Songea na Sumbawanga wamevuna mahindi, yanasaidia Sana kushusha Bei ya Mahindi, kumbuka Mikoa ya Tanga na Pwani walikosa Mvua za kutisha. Click to expand... Ukinitajia Sumbawanga roho yangu inaniuma sana, mwaka juz nilinunua mahind gunia 45000 nikaja kuuza kwa 20000
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 6,843 Reaction score 11,702 Jul 20, 2022 #64 Dodoma leo said: Usiwe mbishi njaa wewe. Kipindi hicho sado ya kilo nne ya mahindi iliuzwa hadi 6000 to 7000. Click to expand... Labda kama uliuza hivo shambani kwako
Dodoma leo said: Usiwe mbishi njaa wewe. Kipindi hicho sado ya kilo nne ya mahindi iliuzwa hadi 6000 to 7000. Click to expand... Labda kama uliuza hivo shambani kwako
K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,573 Reaction score 2,807 Jul 20, 2022 #65 wakati wa kikwete unga kg 250 tu...
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,422 Jul 20, 2022 #66 johnthebaptist said: Daraja gani? Click to expand... Daraja la mkapa
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,422 Jul 20, 2022 #67 kikuna said: wakati wa kikwete unga kg 250 tu... Click to expand... Wakati wa nyerere unga kg senti 50
kikuna said: wakati wa kikwete unga kg 250 tu... Click to expand... Wakati wa nyerere unga kg senti 50