Unganeni kukikataa kikundi hiki kabla hakijakomaa zaidi ya hapa na kuwa kikundi cha hatari zaidi

Hahahaha chandimu bwana! Ccm iliasisiwa tangu mwaka 1935 Yanga inazaliwa! Sasa nyie mmeanzishwa juzi tu 92 mnataka mshike dola! Jijengeni kwanza mtushawishi, sio kila siku makelele mitandaoni wapiga kura hawako humu social media! Anzisheni chadema ni msingi, chipukizi, vijana had I wazazi
 
CCM kwanin msianzishe bank na nyie kama mnaona. Biashara ni rahisi!! Mnaiba pesa za uma kwa ajili ya chama!! Mma viwanja na majengo kila mkoa anzisheni 🏦 Bank tuone mfano kwani Basi.
Alaf mnaita wazungu mashetani wakati mnakopa na kuomba misaada kwao? Wakati mnapewa misaaada hamuulizi kama pesa za mashoga mnazibeba tu
 
"sisi" ndio wakina nani?
Wewe kura yako inaweza kuwa "wingi" na kuifanya iwe "sisi" badala ya wewe!?
Sisi ni jumuisho kwa tayari matokeo ya kura zilizopigwa yalishatangazwa na mamlaka yenye dhamana - kwa ushindi huo neno sisi linapata uzito kupita wewe
 
Unapoteza sana muda wako na siku zinasonga mbele hazigandi! Nakushauri jaribu kutumia muda wako kujijengea future yako kwa plan B maana hii ya kisiasa imebuma.
Anza na hii

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…