Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao
Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya wapangaji. Huyu mshkaji ni mpangaji mwenzangu tena rafiki wa faida. Huyu binti ni mtoto wa mama mwenye nyumba. Niko na mahusiano naye, hata mama yake analijua hilo, japo wahenga walianza kusema najieka kwa mtoto wa kike kwa lengo la kusamehewa kodi lakini sikujali
Mida ya saa 3 usiku natoka job nikiwa nimechoka, ile kukatiza korido ya juu, nawakuta hawa wasaliti wapo kwenye mzio mzito sana. Nimewapita nikafungua kijilango changu, nikasimama wima juu ya kitanda changu ndani ya dakika 5, nikashuka na kutoka nje kwenda kununua widi. Nilivyotoka sikuwakuta pale koridoni
Nifanye nini ndugu zanguni?