Ungechukua uamuzi gani baada ya kumkuta mpenzi wako amepakatwa na rafiki yako?

Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao

Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya wapangaji. Huyu mshkaji ni mpangaji mwenzangu tena rafiki wa faida. Huyu binti ni mtoto wa mama mwenye nyumba. Niko na mahusiano naye, hata mama yake analijua hilo, japo wahenga walianza kusema najieka kwa mtoto wa kike kwa lengo la kusamehewa kodi lakini sikujali

Mida ya saa 3 usiku natoka job nikiwa nimechoka, ile kukatiza korido ya juu, nawakuta hawa wasaliti wapo kwenye mzio mzito sana. Nimewapita nikafungua kijilango changu, nikasimama wima juu ya kitanda changu ndani ya dakika 5, nikashuka na kutoka nje kwenda kununua widi. Nilivyotoka sikuwakuta pale koridoni

Nifanye nini ndugu zanguni?
Tofautisha mapenzi na uzinzi😂😂

Hapo umemkuta mzinzi mwenzio akiwa na mzinzi mwenzake😎
 
Sheria namba 1: Usiwindie maeneo ya nyumbani
Tafsiri: Epuka mahusiano ya kimapenzi na mtu ambae mnaishi nyumba ama mtaa mmoja,..Epuka mahusiano ya kimapenzi sehemu za kazi ama unapofanyia biashara na shughuli zako za kila siku kujiingizia kipato,..Epuka mahusiano na Boss ama mfanyakazi wako. Sio mbaya ila madhara yake ni makubwa sana endapo mambo yataenda kombo!!
"Madhara yake ni makubwa"nami nasema ni makubwa sana
 
Ni umeoneshwa upande wake wa pili kuwa ni malaya Sasa uamuzi ni wako ulie kidogo Sasa hivi ama ulie sana baadae
 
Sina makosa we bwana, sina makosa we bwana 🥶hasira zanini we bwana yule si wako nami si wangu chuki yanini kati yangu mimi nawewe - les wanyika
Sio james dandu?
 
Mleta mada umepanga chumba 1? Focus kwenye pesa
 
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao

Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya wapangaji. Huyu mshkaji ni mpangaji mwenzangu tena rafiki wa faida. Huyu binti ni mtoto wa mama mwenye nyumba. Niko na mahusiano naye, hata mama yake analijua hilo, japo wahenga walianza kusema najieka kwa mtoto wa kike kwa lengo la kusamehewa kodi lakini sikujali

Mida ya saa 3 usiku natoka job nikiwa nimechoka, ile kukatiza korido ya juu, nawakuta hawa wasaliti wapo kwenye mzio mzito sana. Nimewapita nikafungua kijilango changu, nikasimama wima juu ya kitanda changu ndani ya dakika 5, nikashuka na kutoka nje kwenda kununua widi. Nilivyotoka sikuwakuta pale koridoni

Nifanye nini ndugu zanguni?
Pole we dogo, lakin ujue kuwa hakuwa demu ako. Maamuzi mazuri ni kuachana na wasaliti wote dem na mchiz wako.
 
Nafikiri utakuwa umehama hiyo nyumba. Kama bado fanya hivi;

Muite jamaa yako wa faida ongea maneno machache, Nakutakia heri kwenye mahusiano kisha kata urafiki zibaki salamu tu. Vivyo hivyo ukikutana na binti mwambie hivyohivyo. Then endelea kupambana na maisha tafuta pesa big boss. Akijaa mdada mwingine anga zako beba endelea kujipigia kwa mapendo kabisa
 
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao

Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya wapangaji. Huyu mshkaji ni mpangaji mwenzangu tena rafiki wa faida. Huyu binti ni mtoto wa mama mwenye nyumba. Niko na mahusiano naye, hata mama yake analijua hilo, japo wahenga walianza kusema najieka kwa mtoto wa kike kwa lengo la kusamehewa kodi lakini sikujali

Mida ya saa 3 usiku natoka job nikiwa nimechoka, ile kukatiza korido ya juu, nawakuta hawa wasaliti wapo kwenye mzio mzito sana. Nimewapita nikafungua kijilango changu, nikasimama wima juu ya kitanda changu ndani ya dakika 5, nikashuka na kutoka nje kwenda kununua widi. Nilivyotoka sikuwakuta pale koridoni

Nifanye nini ndugu zanguni?

Kanunue chupi tano za kike kubwa ( za wenye msambwanda), halafu kila siku asubuhi unaanika moja pamoja na nguo zako.......Atakuja kukuomba msamaha, utaendelea kula tunda na kusamehewa kodi
 
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao

Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya wapangaji. Huyu mshkaji ni mpangaji mwenzangu tena rafiki wa faida. Huyu binti ni mtoto wa mama mwenye nyumba. Niko na mahusiano naye, hata mama yake analijua hilo, japo wahenga walianza kusema najieka kwa mtoto wa kike kwa lengo la kusamehewa kodi lakini sikujali

Mida ya saa 3 usiku natoka job nikiwa nimechoka, ile kukatiza korido ya juu, nawakuta hawa wasaliti wapo kwenye mzio mzito sana. Nimewapita nikafungua kijilango changu, nikasimama wima juu ya kitanda changu ndani ya dakika 5, nikashuka na kutoka nje kwenda kununua widi. Nilivyotoka sikuwakuta pale koridoni

Nifanye nini ndugu zanguni?
1744083951364.png
 
Wamama wenye nyumba huwa wanapenda sana wapangaji mkiwasalandia watoto wao, na wanakua hawapendi mkiwa mnavusha.

Hapo bi mkubwa pesa ya kula haipigi chenga, vidume viwili kodi vinalipa na matumizi ya home vinatoa.
 
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao

Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya wapangaji. Huyu mshkaji ni mpangaji mwenzangu tena rafiki wa faida. Huyu binti ni mtoto wa mama mwenye nyumba. Niko na mahusiano naye, hata mama yake analijua hilo, japo wahenga walianza kusema najieka kwa mtoto wa kike kwa lengo la kusamehewa kodi lakini sikujali

Mida ya saa 3 usiku natoka job nikiwa nimechoka, ile kukatiza korido ya juu, nawakuta hawa wasaliti wapo kwenye mzio mzito sana. Nimewapita nikafungua kijilango changu, nikasimama wima juu ya kitanda changu ndani ya dakika 5, nikashuka na kutoka nje kwenda kununua widi. Nilivyotoka sikuwakuta pale koridoni

Nifanye nini ndugu zanguni?
Kuna kitu kina miss kwako ambacho anadhani Kwa mshkahi atakipata.
Kama una MOYO unaweza kulipa muda na kujifunza kugeuza changamoto Kuwa fursa.

Usimkasirikie, usimkatishe, ongeza ukaribu ili kugundua ni kitu Gani ambacho limemfanya aanzishe mahusiano na mwana.

Kisha jiposition kama mtatuzi WA changamoto hiyo.

All in all ni changamoto ya kisaikolojia na hatua za Mapenzi mliyofikia.

Kama hautojali, nijuze mahusiano yenu yana muda Gani Hadi sasa
 
Vuta pisi kali kesho endelea na mishe zako usimuulize wala kumsemesha kuanzia leo
Nimempa salamu leo aaubuhi wakati natoka hajajibu. Nimeona nikikaa kimya watajua nimeumia. Kuhusu kuvuta chombo ingine navuta muda kwanza wasije kutafsiri vingine
 
Back
Top Bottom