Ungechukua uamuzi gani baada ya kumkuta mpenzi wako amepakatwa na rafiki yako?

Kuna kitu kina miss kwako ambacho anadhani Kwa mshkahi atakipata.
Kama una MOYO unaweza kulipa muda na kujifunza kugeuza changamoto Kuwa fursa.

Usimkasirikie, usimkatishe, ongeza ukaribu ili kugundua ni kitu Gani ambacho limemfanya aanzishe mahusiano na mwana.

Kisha jiposition kama mtatuzi WA changamoto hiyo.

All in all ni changamoto ya kisaikolojia na hatua za Mapenzi mliyofikia.

Kama hautojali, nijuze mahusiano yenu yana muda Gani Hadi sasa
Hapana mkuu, siwezi kuwa na ukaribu naye tena zaidi ya salamu, anaweza kuona bila yeye mimi si kitu. Mahusiano yenyewe yana kama mwezi na wiki
 
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao

Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya wapangaji. Huyu mshkaji ni mpangaji mwenzangu tena rafiki wa faida. Huyu binti ni mtoto wa mama mwenye nyumba. Niko na mahusiano naye, hata mama yake analijua hilo, japo wahenga walianza kusema najieka kwa mtoto wa kike kwa lengo la kusamehewa kodi lakini sikujali

Mida ya saa 3 usiku natoka job nikiwa nimechoka, ile kukatiza korido ya juu, nawakuta hawa wasaliti wapo kwenye mzio mzito sana. Nimewapita nikafungua kijilango changu, nikasimama wima juu ya kitanda changu ndani ya dakika 5, nikashuka na kutoka nje kwenda kununua widi. Nilivyotoka sikuwakuta pale koridoni

Nifanye nini ndugu zanguni?
Hahaha
 
Huyo binti kashawishika, achana naye kama atajiongeza atakuomba msamaha we msamehe ,
Lakini DELETE TRASH
 
Kuna kitu kina miss kwako ambacho anadhani Kwa mshkahi atakipata.
Kama una MOYO unaweza kulipa muda na kujifunza kugeuza changamoto Kuwa fursa.

Usimkasirikie, usimkatishe, ongeza ukaribu ili kugundua ni kitu Gani ambacho limemfanya aanzishe mahusiano na mwana.

Kisha jiposition kama mtatuzi WA changamoto hiyo.

All in all ni changamoto ya kisaikolojia na hatua za Mapenzi mliyofikia.

Kama hautojali, nijuze mahusiano yenu yana muda Gani Hadi sasa
Unampoteza mtu wetu mkuu!!!
 
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao

Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya wapangaji. Huyu mshkaji ni mpangaji mwenzangu tena rafiki wa faida. Huyu binti ni mtoto wa mama mwenye nyumba. Niko na mahusiano naye, hata mama yake analijua hilo, japo wahenga walianza kusema najieka kwa mtoto wa kike kwa lengo la kusamehewa kodi lakini sikujali

Mida ya saa 3 usiku natoka job nikiwa nimechoka, ile kukatiza korido ya juu, nawakuta hawa wasaliti wapo kwenye mzio mzito sana. Nimewapita nikafungua kijilango changu, nikasimama wima juu ya kitanda changu ndani ya dakika 5, nikashuka na kutoka nje kwenda kununua widi. Nilivyotoka sikuwakuta pale koridoni

Nifanye nini ndugu zanguni?
Kiukweli alinitaka mwenyewe rafiki angu wa FAIDA na hizo chance kukataa ni ngumu hata kama ungekuwa wewe ungekubali tu hivyo naomba tusameheane tu mkuu maana ni mambo ya kupita tu haya

Tusiuvunje urafiki wetu kwa SABABU ya mwanamke mmoja TU kumbuka tulikotoka kaka ANGU

Usiwe hivo mkuu tafadhali,🫩🫩🫩🤚🤚🤚🫴
 
Unampoteza mtu wetu mkuu!!!
Upendo ni uchaguzi, Kwa maana ya kuchagua kufanya vitu Kwa ajili ya ustawi wa Umpendae.
sure nakwambia Ikiwa amechagua kumpenda Hata umshauri vipi amuache hatofanya hivo, na ikiwa hajachagua kumpenda hauwezi comment chochote Cha kumuunganisha nae.

Ushauri Wangu kwake ni Ikiwa tu amechagua kumpenda atafanikiwa.

Hata Malaya wanaolewa.
 
Sawa, lakini sio kumshauri aache weed📌🔨
 
Wamama wenye nyumba huwa wanapenda sana wapangaji mkiwasalandia watoto wao, na wanakua hawapendi mkiwa mnavusha.

Hapo bi mkubwa pesa ya kula haipigi chenga, vidume viwili kodi vinalipa na matumizi ya home vinatoa.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom