Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
mfano leo wewe ndo ungekuwa bill gates na utajiri wote..au unaelelea kuwa bill gates..
matamanio yako makubwa ni yapi?
mambo ambayo unatamani kuyafanya lakini kikwazo pesa...
your biggest wishes..

mi kama ningekuwa bill gates tz hakuna mtoto wa mtaani anaeombaomba..hakutakuwa na wahitaji maakum wanapigwa jua wakiomba..hawa watu wananiumiza nkiwaona..
hawa watu mahitaji yao makuu ni chakula.pa kujiatiri na mavazi...
vitu vingine ni matibabu.na vitu vya kufurahia
yes.iam bill gates..i can do all these..u will never see a street kid or lame begging .

what about you?
ungekuwa billgates ungefanya nini?
 
Ningetoa elimu bure kutoka awali hadi elimu ya juu,matibabu bure na kuwasaidia wasiojiweza
means ugewipia wote ada..si ndio?
labda kama ungejenga shule na vyuo vyako wasome bure.
lakini ni vya wengine unacovee ada waaikose kusoma..
 
Pia ningeshawish wakulima wajiunge kwny vikundi vidogovidogo ili niwakopeshe rasilimali fedha na zana za kisasa za kilimo waachane na kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua. ..hii yote ni kwasabab kwa Tz kilimo ndo uti wa mgongo
kilimo bora kinachangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi yetu! !
 
Ningejenga hospital nyingi za wazazi.

ningehakikisha kila mkoa una hospital kubwa kwa ajili ya wazazi masuala ya kulala chini, watoto watatu kulala kitanda kimoja yasingekuwepo.
 
Ningejenga hospital nyingi za wazazi.

ningehakikisha kila mkoa una hospital kubwa kwa ajili ya wazazi masuala ya kulala chini, watoto watatu kulala kitanda kimoja yasingekuwepo.
ipo cool mkuu.
 
so hakutakuwa na mkulima maskini tz..zana za kisasa..mazao ya uhakika soko la uhakika hadi nje eh?
Ipo cool hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…