pesa six pack halisi
Member
- Oct 29, 2017
- 49
- 63
aggyjay Huyu pia anataka kumfurahisha magu. ...si alisema Katika awamu yake tujitahidi kufyatua watoto[emoji23] [emoji23]Ningejenga hospital nyingi za wazazi.
ningehakikisha kila mkoa una hospital kubwa kwa ajili ya wazazi masuala ya kulala chini, watoto watatu kulala kitanda kimoja yasingekuwepo.