Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
- #61
albania ndo sehemu inayokuvutia zaidi?Nisingeishi Tanzania fasta ningetimkia Albania..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
albania ndo sehemu inayokuvutia zaidi?Nisingeishi Tanzania fasta ningetimkia Albania..
sikujua mwaya..najua ni billNachojua mimi, Tajiri wa Kwanza Duniani Ni Mmliki wa Amazon
wacha wee...vipi ungempa magu dola millon 700 kusaidia maendeleo?Hahahahah hili swala sio jepesi ila nadhani ningekuwa mtu peace zaidi naesaidia maskini na kujenga marafiki wengi ulimwenguni. Plus kujenga misikiti na makanisa ili kuhimiza watu wamkumbuke mungu.
Ningeoa mke mzuri sana ambae ndie angekuwa jukumu langu la pili baada ya kupata pesa na kujenga familia bora yenye watoto wengi lakini 5+ kids
Swala la bata ni pie so SUV zote zenye muonekano mzuri kama G Wagon, F-Pace, Velar, Vogue, Escalade, Tahoe, Navigator, Expedition,Grand Cherokee, Cruiser 200 series ningekuwa nazo kila likitoka toleo jipya. Old model nagawa kwa ndugu jamaa na marafiki.
Sipendi ndege so sio lazima ila SUV muhimu zenye rim kali (Foggiatos) na bonge la sound kama JBL au Bose.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ningeinunua tz then ningewapa watanzania nchi yao mana ccm amejipa urithi wa nchi
[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1. Ningenunua begi jipya nikaringishe Matejoo
2.Wanyaturu wote ningewahamishia mlima Meru
3. Ningenunua mnyonyo na travoo
4. Nikioa honeymoon ningeenda juani
5. Ningenunua RV na ndio ingekuwa nyumba yangu, ningeishi nchi nzima, leo niko kimara kesho nasogea mbezi, keshokutwa naenda masaki
vitaje tuvijueMimi ni Zaidi ya Bill Gate kuna vitu ninavyo ambavyo yeye hana
[emoji38] umeona majibu ya wenzio?Sijui ningefanya nini ningekuwa yeye.
Yaani hapa unataka nijiingize kwenye akili ya bill wakati huo huo nikiwa kwenye akili ya Kileiguanan.
Hahahaaaa!!!!!MPE haki yakeNajua unahamu ya basha
Ah wapi ye si ana mamaake ampe hio mipunga. Watakaonufaika na hizo dolla million ni ndugu zangu kwanzawacha wee...vipi ungempa magu dola millon 700 kusaidia maendeleo?
Kwani Billgate angefanyaje angekuwa kama mimi?mfano leo wewe ndo ungekuwa bill gates na utajiri wote..au unaelelea kuwa bill gates..
matamanio yako makubwa ni yapi?
mambo ambayo unatamani kuyafanya lakini kikwazo pesa...
your biggest wishes..
mi kama ningekuwa bill gates tz hakuna mtoto wa mtaani anaeombaomba..hakutakuwa na wahitaji maakum wanapigwa jua wakiomba..hawa watu wananiumiza nkiwaona..
hawa watu mahitaji yao makuu ni chakula.pa kujiatiri na mavazi...
vitu vingine ni matibabu.na vitu vya kufurahia
yes.iam bill gates..i can do all these..u will never see a street kid or lame begging .
what about you?
ungekuwa billgates ungefanya nini?