Hahahahah hili swala sio jepesi ila nadhani ningekuwa mtu peace zaidi naesaidia maskini na kujenga marafiki wengi ulimwenguni. Plus kujenga misikiti na makanisa ili kuhimiza watu wamkumbuke mungu.
Ningeoa mke mzuri sana ambae ndie angekuwa jukumu langu la pili baada ya kupata pesa na kujenga familia bora yenye watoto wengi lakini 5+ kids
Swala la bata ni pie so SUV zote zenye muonekano mzuri kama G Wagon, F-Pace, Velar, Vogue, Escalade, Tahoe, Navigator, Expedition, Explorer, Cruiser 200 series ningekuwa nazo kila likitoka toleo jipya. Old model nagawa kwa ndugu jamaa na marafiki.
Sipendi ndege so sio lazima ila SUV muhimu zenye rim kali (Foggiatos) na bonge la sound kama JBL au Bose.