Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Mimi ningekuwa mfalme Daudi nisingependa adui yangu aniletee upuuzi wake, nisingekuwa yesu eti unipige nikuangalie tu.

Wasaliti kama kina Yuda wangeipata freshi?

Wewe unadhani ulifaa kuwa nani?

USSR
 
Mimi ningekuwa mfalme Daudi nisingependa adui yangu aniletee upuuzi wake , nisinge kuwa yesu eti unipige nikuangalie tu .

Wasaliti kama kina Yuda wangeipa freshi?

Wewe unadhani ulifaa kuwa nani ?

USSR
This is Sacrilege
 
Back
Top Bottom