Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

Mimi ningekuwa mfalme Daudi nisingependa adui yangu aniletee upuuzi wake, nisingekuwa yesu eti unipige nikuangalie tu.

Wasaliti kama kina Yuda wangeipata freshi?

Wewe unadhani ulifaa kuwa nani?

USSR
Esta
 
Rahabu bila kujisell.. Bali kibata natamani nizionje nyingi... Eeeh ndotoni..
 
Onani

FLazP2xWQAYaFrv.jpg
 
Eve..... c'se I like apples 🍎

Mariam cause I want to have a baby without sexual inter.... nor implantation

Martha cause I don't like cooking.... just chill with Jes' while Mary Magdalena is busy cooking 😉

Just few to mention.
 
Back
Top Bottom