Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

Uko sahihi ila Mungu alimpenda Dauda kwa uwanja wa vita

USSR
Uzuri wa Daudi alijaa moyo wa toba sana lkn alikosea mara nyingi sana.
Kosa la Sauli ni kuchukua mateka wa mifugo iliuonona badala ya kuua kila kitu
 
Uzuri wa Daudi alijaa moyo wa toba sana lkn alikosea mara nyingi sana.
Kosa la Sauli ni kuchukua mateka wa mifugo iliuonona badala ya kuua kila kitu
Jamaa aliuwa sana na jeuri juu ,ukosoma ishi za Sauli na Daudi unafahamu kwamba Mungu sio rahisi kusamehe kama tunavyodanganywa na manabii wa sasa maana Daudi kusamehewa ilikuwa hatari sana alilia na kulia wapi mpaka mwishoni

USSR
 
Ningemuomba Mungu anigawie kidogo roho ya Musa. Ukweli roho yote ya Musa ilikua ni kazi mno. So anipe kidogo kutoka kwa Musa
 
Back
Top Bottom