Ungekuwa kwenye situation ya Mdee, Bulaya et al, ungechangaje karata zako kuelekea uchaguzi wa 2025.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
 
Kwa sasa wanajuta sana. Walifikiria kuwa Mwendazake ataendelea kuwapo duniani. Kumbe kazi ya Mungu haina makosa.
 
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
Hao labda waende ccm ingawa nako hawatakubalika kiasi cha kurudi Bungeni.Wakirudi chadema chama kitachafuka na kupoteza credibility yake .Vyama vingine ama kuunda kipya wanaweza ila ndo walishachafuka.Nawashauri pesa zao walizokusanya na mafao yao watakayopata wazielekeze kwenye miradi binafsi.Narudia Kwenye miradi binafsi.
 
Wakikosa nguvu za ushawishi watatumia nguvu za jinsia zao. Japo umri nao ushawatupa mkono.
 
Waje kwa Mzee wa Ubwabwa, tunawakaribisha sana.
 
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
KUSHIRIKIANA NA NDUGAI KUANZISHA CHAMA
 
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
Mahakama ishaeweka wazi kuwa walifukuzwa na Chadema, hivyo anayehusika kuwaweka Bungeni kinyume na sheria siyo mahakama ila kwa sasa hoja imehamia kwa Spika.
 
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
Kinachoniuma na kunisikitisha HALIMA "JEMBE" MDEE ni hazina ya taifa inayopotezwa na maamuzi mabaya ya uongozi kwenye vyama.

Huyu binti anaweza kushika madaraka yoyote katika nchi hii na kafanya kwa ufanisi. Siasa za CHOYO, WIVU NA UMIMI ndiyo zinazotaka kumuondoa kwenye siasa za MNYOOSHO huyu binti.

CCM impe kazi huyu mama hata asipogombea popote
 
Kwani mwamba anasema je?
 
Nani aliyekuamb
Kinachoniuma na kunisikitisha HALIMA "JEMBE" MDEE ni hazina ya taifa inayopotezwa na maamuzi mabaya ya uongozi kwenye vyama.

Huyu binti anaweza kushika madaraka yoyote katika nchi hii na kafanya kwa ufanisi. Siasa za CHOYO, WIVU NA UMIMI ndiyo zinazotaka kumuondoa kwenye siasa za MNYOOSHO huyu binti.

CCM impe kazi huyu mama hata asipogombea popote
Nani aliyekuambia ccm wanamtaka?
 
Back
Top Bottom