Ungekuwa kwenye situation ya Mdee, Bulaya et al, ungechangaje karata zako kuelekea uchaguzi wa 2025.

Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
Kwa hiyo tuwaazime akili zetu?Wajitegemee kama walivyoanza.
 
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
Wahamie CCM au warudi CDM ingawa Bora CCM Kwa sababu Wanaweza pata vyeo vya kuitumikia Nchi endapo watashinda Ubunge au bila kushinda Ubunge.
 
Aibu Sana Siasa Zetu Yaani Kama Hakuna Sheria, Watu Walifukuzwa CDM, Ila CCM,COURT
Wakawabeba Na Kuwaatamia Mpaka 2025
 
Back
Top Bottom