The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Itanisaidia kwa kujenga utamaduni wa watumishi wa umma kuwajibika kwa matamshi yao ambayo pia itawasaidia watu kama wewe na yeye binafsi ukiachia mbali rais na taifa. Umeelewa mwanangu?Halafu huyo Bashiru akiondolewa kwa hizo sababu ulizotaja, wewe kama wewe, itakusaidia nini na familia yako kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16]
Maskini mwanangu usiyejua mambo. Pole sana. Ally alisema mwenyewe kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote baada ya Ukatibu Mkuu wa CCM. Hayo ni maapizo na maneno yake ninayomkumbusha ayakumbuke na kuyafanyia kazi kama mtumishi wa umma.Acha chuki za kuwaombea mabaya wenzio. Chapa kazi ongeza kipato acha majungu.
Kwanza ningemhakikishia CDF kuwa cheo chake anaendelea nacho.Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe. Hivyo, wap wengi watakaoangukuwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba. Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM. Je wewe unasemaje?
Unamtegemea mwanasiasa awajibike kwenye matamshi yake? Mwanasiasa? We ulisikia wapi dogo? [emoji16]Itanisaidia kwa kujenga utamaduni wa watumishi wa umma kuwajibika kwa matamshi yao ambayo pia itawasaidia watu kama wewe na yeye binafsi ukiachia mbali rais na taifa. Umeelewa mwanangu?
Mwanangu uwe na adabu. Tangu lini baba yako akawa dogo kwa kile alichotengeneza na mama yako? Wakati wa kuwawajibisha wanasiasa ni sasa.Unamtegemea mwanasiasa awajibike kwenye matamshi yake? Mwanasiasa? We ulisikia wapi dogo? [emoji16]
Aanze na Wizara ya afyaHakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe. Hivyo, wap wengi watakaoangukuwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba. Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM. Je wewe unasemaje?
Kumbe unapenda tumbuatumbua za kionevu? Samia Hana Ujinga Kama wako. Atafuata nyayo za JPM kutumbua wazembe na wabadhirifu wa Mali za umma.Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe. Hivyo, wap wengi watakaoangukuwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba. Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM. Je wewe unasemaje?
Kwa nini unaita binadamu wenzio takataka?Kwanza ningemhakikishia CDF kuwa cheo chake anaendelea nacho.
Pili ningefukuzilia mbali haya mataka taka.
- Bashiru
- Doto wa hazina
- Mwigulu
- Wakuu wa mikoa wote kasoro yule wa Geita.
- Huyu Katelefoni