Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

Kuna Mtu mmoja Anaitwa Odunga Rorya Ningekua Rais asingekaa hata robo dakika.
 
Ukiaoma Comments. humu utagundua kuwa Rais Samia hatakiwi kumfukuza yeyote na hatomfukuza yeyote.
 
Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.

Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba.

Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM.

Je wewe unasemaje?
Hakuna haja ya kubashiri nani ni nani. Swala hili litawakumba wale ambao hawatabadilika kwenda na mdundo (tune). Kumbuka if you can't change, change will change you.
 
DC wa Hai, Ole Sabaya
RC wa Mbeya, Chalamila
Waziri wa Tamisemi, Jaffo

Hawa watu watatu walichojua wao ni kumwabudu na kumtukuza "yesu" wao hayati Magufuli, badala ya kuwatumikia wananchi wa nchi hii ambao kutokana na kodi zao ndiyo wanalipwa mishahara yao
Nimecheka kama mazuri vile
 
Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.

Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba.

Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM.

Je wewe unasemaje?
Kuhakikisha lissu & Co. are banished for life in the foreign land...
 
Mama fanya Yako kama Mungu atakavyokuongoza!! Maadui wa Taifa unawajua! Wanafiki unawajua! Wengine wameshaanza kujisogeza!! Kaza uso!! Najua wapo watakaothubutu kukujaribu kwa namna mbalimbali ili wapime makali ya upanga wako!! Usipepese macho!! Atakayethubutu kukujaribu kwa lolote lile mshughulikie vilivyo fasta ili wengine waogope!!
 
Kwanza ningemhakikishia CDF kuwa cheo chake anaendelea nacho.

Pili ningefukuzilia mbali haya mataka taka.
  • Bashiru
  • Doto wa hazina
  • Mwigulu
  • Wakuu wa mikoa wote kasoro yule wa Geita.
  • Huyu Katelefoni
Aisee yule wa simiyu ANTHONY MTAKA angekuwa wa kwanza kupandishwa cheo na kuwa VP au waziri kabisa apewe wizara napenda sana namna anavyo iongoza simuyi hatumii miguvu bila akili kama RC Mbeya.
 
Mwigulu Nchemba --- huyu ni opportunist ambaye hafai kuaminiwa, atamharibia rais. Pili akajifunze mipaka ya kazi yake maana ana overlap tu ili ajipendekeze
2. Chalamila, ole Sabaya na PM ameonesha kupwaya
PM.!!!!! mnyonge mnyongeni..lakini Haki yake mpeni..Waziri mkuu yupo vizuri Sana..Kama kuna wanaomkataa ni chuki zao tu..ila mama katika majembe yatakayokusaidia kufanya kazi yako vizuri PM ni namba moja
 
Aanze na jambawazi Sabaya la Hai, huyu mtu ni mwizi na shetani! hafai kuwa kiongozi hata ktk familia ktk karne hii! Ni jitu la hovyo kabisa.
Ila mtu kama 'mpwa Dotto' huyu najua njia ni nyeupe kuondoka hazina.
 
PM.!!!!! mnyonge mnyongeni..lakini Haki yake mpeni..Waziri mkuu yupo vizuri Sana..Kama kuna wanaomkataa ni chuki zao tu..ila mama katika majembe yatakayokusaidia kufanya kazi yako vizuri PM ni namba moja
Kasimu majaliwa hana shida ila tu ajitenge na na asikubali kuingizwa kwenye makundi
 
Meko alikuwa ndani ya tawala zote.
Ila alivyobadilika na kutoa malawana utadhani hakuwepo kabisa amekuja mpya

Hakuwa top alikuwa anatumwa. Si unaona hata legacy ya Kikwete ya mabarabara msimamizi alikuwa ni JPM. Kwa nini hakuwa Kawambwa ama gambusilo kwa mfano?
 
Kwanza ningemhakikishia CDF kuwa cheo chake anaendelea nacho.

Pili ningefukuzilia mbali haya mataka taka.
  • Bashiru
  • Doto wa hazina
  • Mwigulu
  • Wakuu wa mikoa wote kasoro yule wa Geita.
  • Huyu Katelefoni
Mkuu hapa utakuwa umemuone Mtaka ni mkuu wa mkoa bora sana
 
Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.

Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba.

Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM.

Je wewe unasemaje?
1. Doto James
2. Dorothy Gwajima
3. Goodwin mollel
4. Dc Hai
5. RC Njombe
6. DC meru
7. Doto Biteko
8. Eng. Yahya tume ya madini
9. RC mbeya
10. Dc Jokate
11. Balozi anayeiwakilisha Tanzania nchini Kuwait
12. RC Geita apelekwa kuwa RC Njombe
13. Naibu Waziri wa madini apandishwe cheo kuwa waziri wa madini
14. Waziri wa elimu
15. Prof mkumbo
16. Katibu mkuu Tamisemi
 
Back
Top Bottom