Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Awaangushie shaka lake zito bila hofu Upinzani uchwala wa Tanzania mahala ambapo Magufuli ilifikia na kuchia. Tubaki na upinzani wa kweli ambao utakuwa alternative Government ya kutumainiwa.Itanisaidia kwa kujenga utamaduni wa watumishi wa umma kuwajibika kwa matamshi yao ambayo pia itawasaidia watu kama wewe na yeye binafsi ukiachia mbali rais na taifa. Umeelewa mwanangu?