Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.

Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba.

Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM.

Je wewe unasemaje?
Hana uwezo wa kutunza kauli zake
 
DC wa Hai, Ole Sabaya
RC wa Mbeya, Chalamila
Waziri wa Tamisemi, Jaffo

Hawa watu watatu walichojua wao ni kumwabudu na kumtukuza "yesu" wao hayati Magufuli, badala ya kuwatumikia wananchi wa nchi hii ambao kutokana na kodi zao ndiyo wanalipwa mishar
Lengai Ole Sabaya Kiboko ya Mbowe
 
Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.

Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba.

Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM.

Je wewe unasemaje?

Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan kufanya Mabadiliko ya Safu yake kwa haraka ni Political Suicidal na simshauri akurupuke katika hili.

Kamwe asiendeshwe na Mihemko yetu Watu wa Mitandaoni ( Keyboard Warriors ) ambao hatuishiwi na ya Majungu 24/7.

Hata kama atataka Kubadili basi kuwe kweli na hiyo haja ila asiifanye kwa Kukurupuka au kutaka Kuwafurahisha au Kuwakomoa itakuja Kumgharimu Kiutawala, Kisiasa na hata Kichama.

Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan atembee mule mule alikokuwa akipita Boss wake Hayati Rais Dkt. Magufuli na aboreshe zaidi pale anapoona kunafaa ila kwa Mapungufu ya Hayati anaweza akayarekebisha na Taifa likaendelea.
 
Kwanza ningemhakikishia CDF kuwa cheo chake anaendelea nacho.

Pili ningefukuzilia mbali haya mataka taka.
  • Bashiru
  • Doto wa hazina
  • Mwigulu
  • Wakuu wa mikoa wote kasoro yule wa Geita.
  • Huyu Katelefoni
Mpaka mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka
 
Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.

Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba.

Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM.

Je wewe unasemaje?
Hapa tuko pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PM.!!!!! mnyonge mnyongeni..lakini Haki yake mpeni..Waziri mkuu yupo vizuri Sana..Kama kuna wanaomkataa ni chuki zao tu..ila mama katika majembe yatakayokusaidia kufanya kazi yako vizuri PM ni namba moja
Waziri Mkuu huyu huyu aliyésema uongo kwenye nyumba ya ibada!!!???
 
Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.

Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba.

Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM.

Je wewe unasemaje?
Sikuzote adui upiga juu ila wachinu watawanyike...
Ata biblia inasema shetani atampiga mchungaji na kondoo wake watatawanyika.. tuwaombee kimsingi hakuna mbaya pale ata huyu Bashiru Ally sio mbaya ila mnamuogopa kwa misimamo yake isiyoyumba.
 
1: Sabaya - Fukuza kabisa
2: Chalamila - Fukuza kabisa
3: Mwigulu - Fukuza kabisa
4: Kunenge - Toa Dar, pangia kazi nyingine, u RC kwake ni cheo kikubwa sana, hana capability kabisa.. Lowest performance ktk kazi.
5. RC - Ruvuma toa haraka
Km unatumia mitandao na vyombo vya habar ili kupima utendaj kazi wa huyu rc wa dar bila shaka utamtumbua mapema tu sabab yy sio MTU wa maonyesho
 
Halafu huyo Bashiru akiondolewa kwa hizo sababu ulizotaja, wewe kama wewe, itakusaidia nini na familia yako kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbuka mtoa post amemnukuu Dr Bashiru ambayo hayo maneno aliyasema mwenyewe Dr Bashuru, sasa wewe unateseka na nini mkuu?
 
Kwanza ningemhakikishia CDF kuwa cheo chake anaendelea nacho.

Pili ningefukuzilia mbali haya mataka taka.
  • Bashiru
  • Doto wa hazina
  • Mwigulu
  • Wakuu wa mikoa wote kasoro yule wa Geita.
  • Huyu Katelefoni
Ahahahahahahahhaha dah JF bwana, hiyo ya mwisho ulimaanisha 'Kasimu'
 
Mama nitamsihi aweke Legacy kwa kukubali kuandikwa kwa Katiba na Tume huru ya uchaguzi!

Nimeonavyo si mtu wa tamaa na kutaka wala chuki na wapinzani na kwamba hatawachukulia kama adui bali washauri na kushirikiana ktk kujenga Taifa.

Hivyo basi kama ningekuwa ni mimi nimepewa hiyo nafasi ningemsihi Mungu ni mambo gani ya msingi napaswa kuwafanyia watanzania na vizazi vyao hadi vya 7 , miongoni ni Kuandikwa kwa katiba na Tume huru.

Mwenyezi Mungu napendezwa na kutenda kwa haki.
 
Hiyo kitu akitakaa kitokee.
Labda waishe CCM Tanzania.
 
Back
Top Bottom