Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

Ah ah... Nimeyapenda tu maneno yako, asante kwa kunichekesha asubuhi hii..
Kwanza ningemhakikishia CDF kuwa cheo chake anaendelea nacho.

Pili ningefukuzilia mbali haya mataka taka.
  • Bashiru
  • Doto wa hazina
  • Mwigulu
  • Wakuu wa mikoa wote kasoro yule wa Geita.
  • Huyu Katelefoni
 
Mimi ningeanza na Lukuvi kwani ktk baraza la mawaziri aliwai kutamka hadharani kuwa Mama samia hatoshi.

Now it is like uraisi wa Mama suluhu kwa Lukuvi ni kama husiemtaka kaja.
Mwigulu Nchemba --- huyu ni opportunist ambaye hafai kuaminiwa, atamharibia rais. Pili akajifunze mipaka ya kazi yake maana ana overlap tu ili ajipendekeze
2. Chalamila, ole Sabaya na PM ameonesha kupwaya
 
Meko alikuwa ndani ya tawala zote.
Ila alivyobadilika na kutoa malawana utadhani hakuwepo kabisa amekuja mpya
 
Majaliwa. Alidanganya taifa mchana kweupe kwa suala nyeti kama hili.
 
1: Sabaya - Fukuza kabisa
2: Chalamila - Fukuza kabisa
3: Mwigulu - Fukuza kabisa
4: Kunenge - Toa Dar, pangia kazi nyingine, u RC kwake ni cheo kikubwa sana, hana capability kabisa.. Lowest performance ktk kazi.
5. RC - Ruvuma toa haraka
 
Halafu huyo Bashiru akiondolewa kwa hizo sababu ulizotaja, wewe kama wewe, itakusaidia nini na familia yako kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16]
Japo sikubaliani na mleta mada, lkn je akiendelea kuwepo wewe na familia yako kuna chochote unapata?
 
Mimi ningeanza na Lukuvi kwani ktk baraza la mawaziri aliwai kutamka hadharani kuwa Mama samia hatoshi.

Now it is like uraisi wa Mama suluhu kwa Lukuvi ni kama husiemtaka kaja.
Kama kweli alisema hivyo na kama kweli anaakili anapaswa kujiuzilu wala hana subabu ya kusibiri kutumbuliwa
 
Kwanza ningemhakikishia CDF kuwa cheo chake anaendelea nacho.

Pili ningefukuzilia mbali haya mataka taka.
  • Bashiru
  • Doto wa hazina
  • Mwigulu
  • Wakuu wa mikoa wote kasoro yule wa Geita.
  • Huyu Katelefoni
Hayo yanaweza kutokea kama Shoga Lissu akiota uRais!
 
1. Majaliwa
 
Kwa vile mimi ni mwanaume siwezi kua Samia.
Ngoja niwasikilizie akina suluhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…