Hakuna ubishi. Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.
Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba.
Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakulwa ambaye alikaririwa akisema kuwa asingekubali kuteuliwa cheo chochote au kugombea baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu wa CCM.
Je wewe unasemaje?