Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
- #21
Siwezi kufanya KAZI za kitumwa kutake care watu ambao wamekuja kufurahia maisha Yao siwezi kuwa mtumwa kwa kigezo cha pesa zanzibar.Mkuu ulikiwa Nungwi umapostigi mpaka dolar kibao umeshika. Ilikuaje ulirudi bongo kutumia au? Hujagundua kitu chochote ukiwa dar na ukiwa Unguja?
Wewe ni receptionist kazi yako kujishusha na kujichekesha kwa wageni ili upate pesa mimi siwezi nataka kutengeneza heshima yangu.
Kwaiyo endelea na KAZI zako za kitumwa kubeba taulo za watu waliomaliza kutombana then unawapa pole unabeba taulo zao zenye sperm mimi siwezi
Siwezi kufanya KAZI ambayo Haina future... kwaiyo unataka kuzaa watoto waje kujua baaba anafanya kazi hotelini?? Me siwezi kaka