Ungekuwa wewe ungefanyaje? Nahisi kupotea

Ungekuwa wewe ungefanyaje? Nahisi kupotea

Jamiiforum siku hizi imejaza takataka nyingi kila mtu anajifanya mjuaji kwenye matatizo ya watu.
Badala kutoa ushauri imekua jukwaa la majigambo na kebehi.

Inasikitisha sana tatizo la mtoa mada na mtoto wako kuja kusoma marekani umeme wa magari kuna uhusiano gani hapo, tujaribu kupunguza ujuaji wa kijinga
Respect bro🙌
 
Back
Top Bottom