Ungependa kukutana na hawa JF members?

Ungependa kukutana na hawa JF members?

Yaani yule mange hachagui Mtu wa kuchafua Hali ya hewa,angekuwa anachagua bwana adili na mabongo movie wake
Mange yoyote anawaweka, ss hivi had family members tunawaogopa kuwashirikisha mambo yetu hachelewi kukuchafulisha hali ya hewa 🤣🤣🤣
 
Yaani hao family member ndio snitch hatariiii..Na ukiwa faragha rule number one, 📵📵📵
Hao ndo wanaouza content kwa Mange, siku hizi hakuna kuaminiana kabisa 🤣🤣🤣
Faragha yenyewe uwe na mtu wako mwenye kujielewa, hii milamba lips haichelewi kukufanya mtaji 🤣🤣🤣
 
Kuna mmoja kasema walitumiana picha za chiu pm kunogesha penzi, imemuuma kujua walionekana eti 🤣🤣🤣🤣
Nikamwambia mtajikuta mmechafua hali ya hewa

Kwahiyo,analalamika mod kaona wakati anamtumia mchumba rungu ?

Mod kachungulia rungu ya member.🤣
 
Itabidi Max aongeze wataalamu kuzuia Hilo tatizo,
Mfano hilo la mtu wa tatu kuonekana mods anajibu tu kirahis na kusema hamna anaeona ila kilichofanyika pale ni ile account ya moderators imepewa some privileges Mojawapo ikiwa ni hiyo ya kuona yanayoendelea PM bila kuonekana ndo maana huwezi kumuona..... maanake njia rahis iwe ni kwenye vle vipaumbele vilivyopo kwenye account ya mod waondoe huo uwezo wa kuaccess PM lkn kama lengo ni usalama bas developers waondoe ile status ya 3 online kwamba isioneshe kama pana mtu wa tatu lkn yupo.
 
Back
Top Bottom