Ungependa kukutana na hawa JF members?

Ungependa kukutana na hawa JF members?

Mkuu Analyse ,

Sina uwezo wa kuingia PM yako, na hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuingilia PM yako. Kwenye uwanja wa PM kuna sehemu ya Participants ambapo inakuruhusu kuangalia watu mliokwenye maongezi. Hizo tuhuma unazoleta hazina ukweli wowote.
Nashukuru kwa maelezo Yako mkuu. Ila nina swali Moja, unakuta kwenye conversation nipo Mimi na YinYang tu (watu wawili), ila pale juu kuna muda inaandika 3 online. Huyo wa tatu anakuwa ni nani?
 
Nashukuru kwa maelezo Yako mkuu. Ila nina swali Moja, unakuta kwenye conversation nipo Mimi na YinYang tu (watu wawili), ila pale juu kuna muda inaandika 3 online. Huyo wa tatu anakuwa ni nani?
Daniel 3:1-30......Je,ni nani yule nimuonae Mtu wa nne kwenye tanuru.......Vivyo hivyo huyu bwana atueleze huyo Mtu wa tatu PM Huwa ni nani???
 
Daniel 3:1-30......Je,ni nani yule nimuonae Mtu wa nne kwenye tanuru.......Vivyo hivyo huyu bwana atueleze huyo Mtu wa tatu PM Huwa ni nani???
Shadrach , meshach Abednego
And unidentified person 😁😁😁😁😁
1706125139511.png
 
Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?

Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?

Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe?

====
Yapunguzwe mambo ya kitoto na ya mpalange...yanalinajisi jukwaa...sie tupo kitambo humu...ndoo maana tukichafukwa yanatutoka matusi bila kukusudia. 🙏
 
Jamii Forums ni moja ya kitu cha thamani sana kama utakuwa na matumizi sahihi. Naandika hivi kuna siku nita kutag tena. Na ishu ya kusema nachatig nini PM hiyo haijalishi kwa sababu nikiwa na interest ya Comment au thread fulani nitamfuata aliyeandika ili kuanza process za kutafuta mawasiliano zaidi. Na kuna member wengine hawezi akakupa mawasiliano binafsi siku hiyo hiyo inaweza chukua hata miezi mitatu. JamiiForums ni mgodi na una kila kitu ni wewe tu utachagua cha kuchukua.
Sometimes huwa uko vizuri up stairs, sema bangi uache🤣😄
 
Back
Top Bottom