Ungependa kukutana na hawa JF members?

Awepo kufanya Nini?aondelewe access....Nini maana ya private?Hawa wanaweza kutuchoma humu ndani tunapongea mengi...
 
Mkuu Analyse ,

Sina uwezo wa kuingia PM yako, na hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuingilia PM yako. Kwenye uwanja wa PM kuna sehemu ya Participants ambapo inakuruhusu kuangalia watu mliokwenye maongezi. Hizo tuhuma unazoleta hazina ukweli wowote.
Nashukuru kwa maelezo Yako mkuu. Ila nina swali Moja, unakuta kwenye conversation nipo Mimi na YinYang tu (watu wawili), ila pale juu kuna muda inaandika 3 online. Huyo wa tatu anakuwa ni nani?
 
Nashukuru kwa maelezo Yako mkuu. Ila nina swali Moja, unakuta kwenye conversation nipo Mimi na YinYang tu (watu wawili), ila pale juu kuna muda inaandika 3 online. Huyo wa tatu anakuwa ni nani?
Daniel 3:1-30......Je,ni nani yule nimuonae Mtu wa nne kwenye tanuru.......Vivyo hivyo huyu bwana atueleze huyo Mtu wa tatu PM Huwa ni nani???
 
Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?

Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?

Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe?

====
Yapunguzwe mambo ya kitoto na ya mpalange...yanalinajisi jukwaa...sie tupo kitambo humu...ndoo maana tukichafukwa yanatutoka matusi bila kukusudia. 🙏
 
Sometimes huwa uko vizuri up stairs, sema bangi uache🤣😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…