KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi!
Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi
Ukiniongeza na hii nakupa na roho yangu kabisa😊
Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi
Ukiniongeza na hii nakupa na roho yangu kabisa😊