Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

Nilipataga kademu kanajua kuimba daah nilikuwa naenjoy kinyama yaani.. ila najua kabsa tulikuwa tunaimbiwaga wengi ila kwa upande wangu nilikuwa naenjoy sana yaani.. raha sana
 
Haha! Pole na hongera pia ati mliimbiwa wengi..🤣
 
Back
Top Bottom