Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

"Just wondering " by D major,
"First time" by Teeks , such a romantic songs, ntajisikia vizuri kuimbiwa 😛.

Na mimi na sauti langu hili baya ntamuimbia "I aaah hiiiaaa i will always love youuu huuuuu" by Whitney Houston. 😘
 
Wanasema ukipenda boga penda na ua lake itabidi ajikaze tu kwa hiyo sauti yako.😂
 
Sijui amefuata nini uku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa ndo walifanya wahenga waje na msemo kwenye msafala wa mamba na kenge wamo..😂
 
Back
Top Bottom