Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi!

Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi

View attachment 2113600

Ukiniongeza na hii nakupa na roho yangu kabisa😊
View attachment 2113613
bibi kizee ya dudu baya
 
Wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manung'aembe yanahangaika.

Mitoto ya 2000's hayaijui hii
 
Back
Top Bottom