Ungependa nani ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha Tanzania?

Ungependa nani ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha Tanzania?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye.

Ungempendekeza Nani?

Siyo lazima awe mwanasiasa anaweza akawa hata mtumishi wa umma au mfanyakazi wa private sector. Tutajane hakuna ajuaye.
 
Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye...
Hii muache rais. Hata ungetaka nani ateuliwe hawezi kuteuliwa kwa vile huna madaraka juu ya hilo.
 
Muheshimiwa umepatia sana kunichagua mimi kuwa waziri wa fedha kipindi hichi, Trab and Trat.
 
Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye...
Hata Paschal Mayala anaweza kwani unaelekezwa cha kufanya na mkuu wako

Hakuna hata ubunifu
 
Back
Top Bottom