Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

Unajitahidi sana kuedit Ila ukweli unaujua kua ushoga unaruhusiwa huko kwenu na mnaoana kabisa kanisani tena kwa kuhudhuriwa na viongozi wakubwa wa kanisa.
 
Hadithi za chini hapo ni uongo na hazipo unazijua wew kwa vile zilitungwa haziendani na Qur an so ni urongo na hazipo 😂😂....Hakuna kitu kama hicho daima katika uislamu
Kuna ndugu Yako katika kubusu jiwe ,nilimuwekea verse ya Koran nikasema Hadith , aliikataa badae namwambia ni Koran akajibu sijui kiarabu 😂😂🤣 Ila aliogopa kidogo ajinyee
 
Kuna ndugu Yako katika kubusu jiwe ,nilimuwekea verse ya Koran nikasema Hadith , aliikataa badae namwambia ni Koran akajibu sijui kiarabu 😂😂🤣 Ila aliogopa kidogo ajinyee
Si ulete wewe uliahidiwa wake 100 peponi😂😂
 
Ipo siku mbusu jiwe , kwa sasa umejiandaa ,

54:5 Isaya

Kwa sababu muumba wako ndiye mume wako; BWANA wa majeshi ndilo jina lake.

Nyie mna mume wa asili ambaye ni muumba wenu😂😂😂
 
54:5 Isaya

Kwa sababu muumba wako ndiye mume wako; BWANA wa majeshi ndilo jina lake.

Nyie mna mume wa asili ambaye ni muumba wenu😂😂😂
Hiyo ni translation tu ,na nilishaweka sawa humu ,
 
Someni kwanza wabusu jiwe mnakurupuka Sana 😂🤣🤣

Hebrew neno lililotumika ni "am your master" בָּעַ֣לְתִּי

Matthew 19:29

Everyone who has left houses, or brothers, or sisters, or father, or mother, or wife, or children, or lands, for my name's sake, will receive one hundred times, and will inherit eternal life.

Utapata mara 100 kwa kile utakachoacha dunia mke utapata mara mia ukimfuata bwana 😂😂😂huko peponi...Ahadi za bwana ni za kweli ndo kinachowatoa roho.
 
Someni kwanza wabusu jiwe mnakurupuka Sana 😂🤣🤣

Hebrew neno lililotumika ni "am your master" בָּעַ֣לְתִּי
Sasa namipiga kwa facts mpaka mkimbie yeroooh !! Yerooh Masai 😂😂
 
Kuna mtu ana baba 100 au mama 100? ,mbusu jiwe soma commentary za wakristo uelewe kwanza ndio uje hapa ,
 
Kuna mtu ana baba 100 au mama 100? ,mbusu jiwe soma commentary za wakristo uelewe kwanza ndio uje hapa ,
Kwani hilo andiko halino ni ahadi ya uongo?

Masai vip hebu soma andiko ndo ahadi mlidanganywa mtapata mara mia mia ndo andiko ambalo linatumika katika kushawishi watoa sadaka😂😂😂watapata mara mia ya kile watoacho ...Nilikuwa huko kanisani huniambii kitu
 
Usilete maana zako kwa wakristo, ndio maana Kuna waelezeaji wa maandiko
Hakuna mtu kupata baba 100

Shall receive an hundredfold.--The better MSS. have "manifold more," as in St. Luke. The received reading agrees with St. Mark. Here it is manifestly impossible to take the words literally, and this may well make us hesitate in expecting a literal fulfilment of the promise that precedes. We cannot look for the hundredfold of houses, or wives, or children. What is meant is, that the spirit of insight and self-sacrifice for the sake of God's kingdom multiplies and intensifies even the common joys of life..
 
Maandiko ni ya uongo sio?😂😂😂 Na yapo kweny bible hyo ndo ahadi mmepewa ni 100 times ya kupata huwezi kujibu mpaka nakufa ...

Ukijibu nimekaa pale ...Naona unazunguka tu kweny kingereza 😂😂

Utapata wake 100 baada ya kumfuata yesu
 
Nimekujibu kwamba Kuna waelezeaji wa maandiko, sio unakurupuka na maana zako

Upo na wake 100 mbona hutaji baba 100 mama 100 ndio ujiulize maana yake nini
 
Nimekujibu kwamba Kuna waelezeaji wa maandiko, sio unakurupuka na maana zako

Upo na wake 100 mbona hutaji baba 100 mama 100 ndio ujiulize maana yake nini
Jibu swali sitaki porojo ...Elimu hauna hata kusoma hujui ?
 
Jibu swali sitaki porojo ...Elimu hauna hata kusoma hujui ?
Jibu langu ni hili au hukusoma

Shall receive an hundredfold.--The better MSS. have "manifold more," as in St. Luke. The received reading agrees with St. Mark. Here it is manifestly impossible to take the words literally, and this may well make us hesitate in expecting a literal fulfilment of the promise that precedes. We cannot look for the hundredfold of houses, or wives, or children. What is meant is, that the spirit of insight and self-sacrifice for the sake of God's kingdom multiplies and intensifies even the common joys of life..
 
😂😂😂😂Jibu lip andika kiswahili watu wote wajue aliyetoa maelezo kwanza hajielewi .

Hilo swali ukipata majibu nitag na hayapo maana hata huelewi nn unasoma ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…