mbuzimawe99
JF-Expert Member
- Nov 23, 2021
- 231
- 802
Mez B alifariki mwaka 2015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]Mr. Nice naye kakomaa na dozi mda mrefu.
Daah kweli sio poa hapa ndo napoogopa hata kama nilikuwa na mechi nikikumbuka hii kitu stimu zinakata😁😁yeah, dawa ya viboro dinda hiyo
pneumonia, ni moja ya OIs, ukiwa na ngoma, inakuondoa fasta wala hairembi
[emoji3][emoji3]Vijana wanavituko humu kama huyu dogo Lavit
Mwenyewe nimeshangaa, kwamba hakuwa na taarifa kuwa Mez B hatunae kitambo, ila yawezekana coz kuna rafik yng yuko states, sasa katika kupiga nae story, voice call WhatsApp, akawa anakumbushia enz za kina cpwaa, ndo namwambia huyo keshafarik kitambo, anabaki kushangaa, kwamba hakuwa na taarifaIna maana hujui kama Mez B ni marehemu, au ndo unatoka jela.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Cpwaa aliumwa nini?Mwenyewe nimeshangaa, kwamba hakuwa na taarifa kuwa ,Mez B hatunae kitambo, ila yawezekana coz kun rafik yng yuko states ,sasa katika kupiga nae story, voice call WhatsApp, akawa anakumbushia enz za kina cpwaa ,ndo namwambia huyo keshafarik kitambo, anabak kushangaa ,kwamba hakua na taarifa
Nimesahau kidogo kilichomuondoa duniani, ila ukiingia youtube, utapata full detailsCpwaa aliumwa nini?
Huyo jamaa hatakuwa katoka jela siku za karibuniIna maana hujui kama Mez B ni marehemu, au ndo unatoka jela.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Cpwaa aliumwa nini?
Wee jamaa weee. Nimecheka balaaa.Njugu bongo zilianza 2006 kuja juu. Kilikua ni kipindi kigumu sana kuwapa wananchi elimu juu ya faida ya matumizi ya njugu. Kwa madiba walianza mapema 2004 ila kule watu miili ilikua inavimbavimba hadi wakuda wakaibua uzushi ooooh njugu zinaotesha maziwa mwanaume. Kiufupi tupige nyeto pale unapoona umezidiwa ili kuepuka ngono zembe.
Daah. Jamaa nilikua namkubali sana.Pneumonia
Hapana. Ngoma kwa maana ya nyimbo zakeHuo ugonjwa ndonugonjwa gani pneumonia afu umeweka ngoma kwenye mabano unamaanisha ukimwi au ngoma gani..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima alikiba tuWasanii wengi Tanzania wana ukimwi.
Sidhani kama ni ndugu wale 😆Sister P mtoto wa Remy 😆
Tupia kapicha tum3mmisItakuwa panic tu. Jini Kabula alikuwa hoi stress alichanfaikiwa akawa analia tu. Ilifikia wakata akataka kujiua. Lakini washauri wakamuwahi. Wakampiga kanselling ya nguvu na kumpa mfano wasanii na watu maarufu ambao wanaishi nao na wako fresh tu. Sasa hivi ni pisii kali balaa.
Yale mauno ya Lilian internet yalinifanya nikojoe mpaka nywele zikakatika.mwenye video yake moja internet mtoto laini mzigo kama woteWalishindwa kutumia dawa au vipi..
Nasikia banza stone pia..Bila kusahau akina Lilian internet..