Unique Sisters wako wapi siku hizi?

yeah, dawa ya viboro dinda hiyo

pneumonia, ni moja ya OIs, ukiwa na ngoma, inakuondoa fasta wala hairembi
Daah kweli sio poa hapa ndo napoogopa hata kama nilikuwa na mechi nikikumbuka hii kitu stimu zinakata😁😁
 
Ina maana hujui kama Mez B ni marehemu, au ndo unatoka jela.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Mwenyewe nimeshangaa, kwamba hakuwa na taarifa kuwa Mez B hatunae kitambo, ila yawezekana coz kuna rafik yng yuko states, sasa katika kupiga nae story, voice call WhatsApp, akawa anakumbushia enz za kina cpwaa, ndo namwambia huyo keshafarik kitambo, anabaki kushangaa, kwamba hakuwa na taarifa
 
Cpwaa aliumwa nini?
 
Njugu bongo zilianza 2006 kuja juu. Kilikua ni kipindi kigumu sana kuwapa wananchi elimu juu ya faida ya matumizi ya njugu. Kwa madiba walianza mapema 2004 ila kule watu miili ilikua inavimbavimba hadi wakuda wakaibua uzushi ooooh njugu zinaotesha maziwa mwanaume. Kiufupi tupige nyeto pale unapoona umezidiwa ili kuepuka ngono zembe.
 
Wee jamaa weee. Nimecheka balaaa.
 
Tupia kapicha tum3mmis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…